Mshindi wa 2009 SADC Essay Competition kundi la shule za sekondari, Allen Kamnde akiinua cheti chake cha ushindi.
Allen ni mwanafunzi wa St. Franciscan Maua Seminary iliyopo mkoa wa Kilimanjaro
Allen ni mwanafunzi wa St. Franciscan Maua Seminary iliyopo mkoa wa Kilimanjaro
Nchi jirani nyingi zinabeza mfumo wetu wa elimu...na wengine wetu tunaamini na kuhangaika kupeleka watoto huko kusoma...hii ni moja ya ushahidi mwingi kuwa elimu yetu iko juuu!
Picha na AssahMwambene...shukrani Anko Michu.
No comments:
Post a Comment