Wadau, hii nimeipata sasa hivi nikaamua ni-share nanyi, ukizingatia kuna watoto wengi, pamoja na huyu hapa chini (Khloe Mfumu), waliozaliwa tarehe hiyo.
Kimahesabu namba 9 ina sifa za kipekee.
Mfano, namba yeyote ukiizidisha na tisa, jumla ya zile namba unazopata kwenye jibu inakupa tisa: 9x3=27 ( 2=7=9) , 9 x9=81 (8+1=9), 9x6=54 (5+4=9)
Pia Sept 9 ni siku ya 252 mwaka huu, au wowote mfupi, ambapo 2 + 5 +2=9
...sasa msije sema mi mchawi, nawakilisha tu!
...sasa msije sema mi mchawi, nawakilisha tu!
No comments:
Post a Comment