Sunday, September 6

'Sama' ( Summer) Imenoga Ulaya

Audrey (kushoto), kaka mtu Faraja, na Christian wakiwa na mama yao Anastazia Felbo, wamejipumzisha kweny bustani wakipata maakuli huko Denmark.

3 comments:

Anonymous said...

oh boy Anastazia!! you must be very busy.....enjoy every moment they grow up very fast. Keep it up mama!

Anonymous said...

anastazia,picha yako haionyeshi vizuri weka ingine. ila nimefurahi kuona watoto wako

Anonymous said...

Nashukru Mungu, nitamtumia Mama Xchyler picha zingine zinazoonyesha vizuri, nimefurahi pia kusikia kuwa umefurahi kuwaona watoto wetu.ubarikiwe