Salaam kwa wadau wote wa blog,
Napenda kutoa shukrani za dhati kabisa kwa taarifa ya maziwa S26 ukweli ni kwamba nilikuwa sina taarifa za kupigwa marufuku kwa maziwa hayo, leo nimeona taarifa hii kwenye blog ya mama na mwana nami pia ningependa kujua kama kuna mdau yoyote anaeweza kutuambia nini cha kufanya baada ya kuacha kutumia maziwa haya ya S26 yaani Mungu akubariki sana.
Pia napenda kuwatakia wadau wote wa blog hii ya mama na mwana Ramadhani Kareem.
Mama Il-haam na Il-haan.
Dar es salaam.

1 comment:
dada kuna hii breaking news naomba uitoe...http://www.chicagobreakingnews.com/2009/09/ibrahim-kibayasi-mt-prospect-police-charges-murder-aggravated-battery-rolling-meadows-lutheran-gener.html
Post a Comment