Wednesday, September 9

Tucheze kwa Furaha

Sasa mi nimeshindwa kumtambua kama huyu ni Christian au Audrey ila naona hapa anacheza na kaka yake Faraja, na wanaonekana wana furaha kweli.

1 comment:

Anonymous said...

huyo ni christian na kaka yake