Wadau tumerudi toka Mbinga kwa bibi, kama mnavyooona hapa X alikua kati ya bibi na babu...hiyo rangi kaitoa kwa bibi!
Picha nyingi zinakuja.
Asanteni wote kwe ushirikiano wakati sipo, tatizo kule kijijini Zantel (ndio mtandao wa mobile internet yangu) haishiki kwa hiyo nikashindwa kuwapa updates, wala kuweka vitu wanavyotuma wadau, ila sasa tuko pamoja.

2 comments:
hii wiki moja mmezunguka kote? namaanisha Liganga aka Putire, Litembo? safi lakini kutembelea nyumbani, ni vizuri kufahamika fahamika huko maana huko ndiko wanakotoka wapiga kura wetu!!
Tunashukuru Mungu kusikia kuwa mmmeludi salama namuona apa Mr Xchyler mbele ya babu na bibi tunasubili kuona picha za uko nyumbani Mbinga. natumani safari yenu ilikuwa mzuri na yenye baraka nyingi, msininyime tu hizo dagaa za nyasa na ukungu.
Nimefurahi kuona picha hii.
Post a Comment