Wadau Kristina, Eva, Stefano wanawatakia wadau woote wa Mama na Mwana xmas njema na kheri ya mwaka mpya. Hawa ni binamu wa Faraja, Christian na Audrey.
6 comments:
Anonymous
said...
MUNGU AMEUMBA JAMANI. KILA KHERI WATOTO WOOOTE, WAZAZI NA WADAU WOOOTE.
6 comments:
MUNGU AMEUMBA JAMANI.
KILA KHERI WATOTO WOOOTE, WAZAZI NA WADAU WOOOTE.
disminder
wow!!!!! looking gud. watoto wamependeza mno zaidi ya sana. Hongereni wazazi. Mzee na tai,safi sana
mmh!! mi sisemi jinc mlivyopendeza
So nice
Safi sana watoto mnogile
Kazi ipo kaka umetoka bomba ile mbaya
Post a Comment