Huyu mdau nilimpata mwaka jana mwezi wa tano, wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi (kazi zetu zinatupeleka maeneo), akiwa anaendesha ringi ila wala hakunifurahisha.
Tatizo ilikua ni asubuhi na mapema (kwenye saa tatu hivi) na ni weekdays, wenzake wako shule. Maeneo ya kule shule ni kama kituo cha polisi, watoto wanachezacheza siku nzima, wasichana wakifika umri wanaozeshwa, basi biashara imeisha, na elimu inazidi kudorora!
No comments:
Post a Comment