Mdau mpya, anaitwa Fahim Fadhili, amezaliwa Jumanne iliyopita, tarehe 9 March.
Ba'mtu Fadhili Akida ana furaha isiyo kifani.
Hongera baba na mama kwa mtoto wa kwanza.
Sweeeeet!
Mama na Mwana tunamwombea Mwenyezi Mungu ambariki mdau mpya maisha mema yenye afya na kheri tele!
4 comments:
Mungu mjalie afya njema Inshallah,
Karibu katika ulimwengu mpenzi.
Hongera mama.
disminder.
mwanao ni zuri sana dada hongera ila naomba umtoe hiyo midude mikonoi kwani unakaribisha mapepo bila kujijua thanx
Hata mi huwa sielewi nikiona mtu anaweka makamba meusi kwa watoto ni imani za ajabu na zimepitwa na wakati erevuka mama.Usikaribishe mambo ya ajabu kwa malaika wa Mungu.
Jamani au macho yangu mabovu.Mbona mie naona kama ni upindo wa kanga vile na sio kamba nyeusi kama mnavyosema. Anyway kama ni kamba hata mimi naomba uitoe huwa naogopa hata kuwabeba watot wenye kamba mkononi.
Post a Comment