Friday, February 4

Happy birthday Josh

Leo mdau Joshua Absalom anatimiza anatimiza miaka mitano (5).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Josh maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

4 comments:

mama Jeremiah said...

Hi Mama X.
Najua hapa sio malahi pake, ila naomba kama utaweza kufuatilia watoto walio potezana na wazazi wao wakati wa mabomu huko Gongo la Mboto na kama waliweza kukutanishwa na wazazi wao. Je watoto wameathirika kiasi gani na haya mabomu? watu wengi tunapitia hii Blog na jinsi utakavyoweza kuelezea athari za watoto, utakuwa umesaidia sana. watu watajifunza jinsi ya kuwasaidia watoto kwenye shida kama hizo, ni nini wafanye, etc.

Najua hiyo ni kazi ya waandisha wa habari, lakini pia "mama na Mwana" nayo inaweza kutuelimisha.

Salaam kwa familia yako na familia zote

Anonymous said...

DAAAMN, THE BLOG IS SOOO BORING, UWE UNAWEKA WEKA BASI MADA MBALIMBALI ILI WATU WACHANGIE, KIDOGO ITAFANYA IWE LIVELY, PIA BADILI RANGI IWE ATTRACTIVE KIDOGO, YANI IKO SOOO OFFF , MI NIKITAKA KUBOREKA NDO NAINGIA HUMU, I LIKE WHAT U ARE DOING ITS UNIQUE BUT TRY TO BE MORE CREATIVE

Anonymous said...

Daamn your a...., kama boring unatafuta humu, hii blog ni ya watoto tena hizo mada unazozitaka weye ni zipi? unaonekana shosti hata mtoto huna hebu tuuondekee wakinamama hapa peleka stress zako sehemu nyingine, shwaini mkubwa

Anonymous said...

Jiang mbona kimya? everything okay?