Showing posts with label Career. Show all posts
Showing posts with label Career. Show all posts

Wednesday, January 14

Sailor Baby Frida

Mtoto Frida Fred (hapa ana miezi minne) akiwa ameulamba nguo zilizodizainiwa kama za mabaharia, ziko nyingi sana mjini, na zinawatoa watoto mchicha ile mbaya, kama mnavyoona.

Tuesday, November 25

Joshua 'Mamajeshi'

General Joshua Absalom (2 yrs)akiwa kweyey uniform zake za kazi, mwenyewe anapenda kusema 'Mimi mamajeshi'.