
Maombi yangu yamejibiwa. hii ni Birthday Party ya kutimiza miaka miwili ya watoto mapacha watatu/triplets (jamani bado natafuta kiswahili chake), Saadu (t shirt ya kijani), Hamid (nyeupe) na Saleh (orange t shirt). birthday yao ni tarehe 13 disemba.

Hapa Saadu keshapuliza mishumaa yake miwili, zamu ya Salehe sasa, kwa nguvu zake zote.

Wote washapuliza mishumaa miwili miwili, sasa kilichobaki...Asiyeimba hali!
3 comments:
lol,so nice
ooh my God,its a blessing having these cute babies...if its my wish would love to have triplets. Amazing and beautiful kids.
A friend told me this place I have been looking for, I come, it turned out, I have not disappointed, good Blog
Post a Comment