Tuesday, December 30

X Mas Baby - Kamugisha

Kamugisha Rwegasila amezaliwa tarehe 12/12/2008 katika hospitali ya Agha Khan. Tunawapa hongera mama yake Adelina Gingi, amabye anafanya kazi Simba NET, na baba yake kwa kupata zawadi nzuuuri ya X Mas.

1 comment:

Anonymous said...

cool blog