Saturday, January 24

Thierry & Faraja

Thierry akiwa ne baba yake Faraja. Jamani amefanana na mwanae...?

3 comments:

Anonymous said...

wamefanana haswa.
ila samahani kidogo, naomba kuuliza hicho kitambaa au shuka kwenye kochi ndio nini? au ndio kochi lenyewe limechanganywa kihivyo(naamanisha ndo style ya kochi) au?..kama c hivyo, bac mi naona kama wangeondoa hicho kitambaa/shuka ili kochi lionekane uzuri wake halisi.

Anonymous said...

we angalia picha acha uzushi, kama kochi limechanika je????? wakaona wafunike, ila hata mi nimeshangaa ila lengo ni kucheki baba na mwana so stick to that, usingalie vingine, mwisho utauliza hio chupa ina uji au chai

Anonymous said...

we achana na kitambaa cha watu je kama kochi limechanika au lina madoadoa hio sehemu, ingawa namimi nimeshangaa ila we angalia baba na mwana sio makochi ya watu, mwishowe utauliza kama hio chupa ina uji au chai