Saturday, January 10

Ujauzito - Dalili No. 1

Ushahidi: Home Pregnancy Test

Hot maternity wear, siku hizi kupendeza ukiwa na mimba ni kitu cha kawaida, nguo fashionable kibao kama Regina anavyoonekana hapa.
***
Kama una dalili zote hizo tisa, au nyingi kati ya hizo na bado huamini kama u mjamzito basi kwa uhakika zaidi nunua home pregnancy test kit yako ujipime uone. Hii ndio test ya mwisho kabisa.

Kama kipimo hicho kinaonyesha positive then, CONGRATULATIONS, YOU ARE GOING TO BE A MOTHER!

3 comments:

Anonymous said...

Jiang mpenzi hii sio dalili, mana unakua na dalili ndo unaamua kufanya hiki kipimo ili kuthibitisha.

Anonymous said...

nashauri hii utoe katika dalili sio mbaya kama dalili zikawa 9 na hii ukaiita ushahidi au kithibitisho

Anonymous said...

dalili namba 1 ni kumiss period, ukimiss period. Everybody knows kua kama ni mtu uko sexually active, au teseme una mume au mpenzi na mnashiriki, ukimiss tu period, first thing kuhisi ni ujauzito na sio change of weather au nini. so mi naona kama kusema kua dalili ya kua na joto ni namba 2 then kumiss period namba tatu haijakaa fresh, mana kua na joto, wengine tukikaribia period tunakua na temperature, so dalili namba moja ni kumiss period na mengineyo panga upendavyo