Thursday, February 26

Brian na Mama

Brian Kamugisha (6 months) akiwa amepozi na mama yake Stella.

2 comments:

Anonymous said...

Brian kavaa saresare na Xchyler kasoro rangi....

Anonymous said...

Hii kweli ni mama na mwana blog. Inapendeza sana. inafurahisha. Niliambiwa na rafiki yangu kuwa ipo blog hii, na mimi napenda kutuma picha zangu kama ya huyu dada alivyopendeza na mtoto wake.