Wednesday, February 25

Natural Beauty at its Best

Hii picha niliikuta wakati natembelea blog ya mdau Mjegwa nimeipenda mno.
Mama huyu amembabe mwanae kwenye kibebeo cha asuli nna uhakika hapa mtoto hadondoki hata mama atembee kilomita ngapi.
Kwa kweli mama na mtoto wote wamependeza sana.
Hii ilinaswa huko Ndoroboni, Kondoa sijui warangi hawa, hebu watu wanaojua makabila ya kati watusaidie.

1 comment:

Anonymous said...

Watu wenye urembo wa aina hii wanapatikana wilaya ya Manyara. Sina uhakika sana kama ni watindiga au Wamang'ati ila sio Warangi.