Wednesday, February 25

Hit it Like Tiger Woods

Mcheza golf chipukizi Hawa Wanyeche akipiga mpira wakati akicheza mchezo huu kwenye mashindano ya golf ya Lugalo Zain Fiddle.
Wazazi tupalilie vipaji vya wanetu tangu wakiwa wadogo.
Mi bado sijajua mwanangu ana kipaji gani, labda cha kuwahi kila kitu, hata meno yaliwahi. Ambao mmeshatambua vipaji vya wanenu msisubiri vife, wapeni nafasi wavifanyie kazi.
(Picha by Anko Mjegwa)

No comments: