Tuesday, February 24

Happy Balated Birthday Dalvis

Jamani wadau naomba mnisamehe kwa kuchlewesha mno salamu za pongezi ya kutimiza mwaka mmoja kwa mdau wetu mwanzilishi, Dalvis Mlingi, ambaye alitimiza mwaka mmoja tarehe 24 January. Mungu ambariki maisha marefu na yenye mafanikio.

No comments: