Saturday, February 14

Mama na Mwana Bonding

Zena Chande akijitayarisha kumyonyesha mwanae Nasri Charunga. Tafiti zinaonyesha kuwa kunyonyesha kunafanya mtoto na mama wawe karibu, au kama wazungu wanavyosema, inafanya bonding kati ya mama na mtoto.

No comments: