Friday, February 20

Nimelipenda Hili Pozi

Jamani katika pitapita zangu huko nkwenye mitandao ya watoto nimekumbana na hii picha, nimeipenda sana, nikaona niwaletee na wadau mfurahisha macho.

1 comment:

Anonymous said...

yani huyu mtoto kama mdoli jamani kweli watoto wanatoka mbali