Thursday, February 19

Maendeleo ya Mtoto - Kushika

Xchyler akiwa anajinywesha mwenyewe juice, ndio kwanza amenza kui-master hii skill, lakini hayo manjonjo yake utadhani kajua zamani. *****
Kujua kushika kunamfanya mwanao aweze kuchezea vitoy vvyake. Pia kujua kushika kunamfanya mwanao afikie ule Uhuru runaoutaka kwa wanetu, kujilisha, kusoma, kuandika, kuvaa na vitu vingine vyote vinavyotegemea mikono.
Anajua Lini Kushika
Wote mtakubaliana name kwamba watoto wote huwa wanazaliwa na uwezo wa kukunja ngumi, ambapo kama ukiweka kakitu kadogo, kama kauzi utakakuta hapo hata baada ya muda mrefu as watoto wachanga huwa hawakunjui vidole mara kwa mara. Ila ukweli ni kwamba inaweza kuchukua hadi mwaka mmoja ndio mtoto awe anaweza kuokota kitu na kukishikilia kwa uhakika, na ataanza kushika kwa utashi wake kuanzia miezi mitatu.
***
Naomba tuendelee kesho....

3 comments:

Anonymous said...

naona x kweli sasa anakula vizuri hata afya yake naona imeboroka, mkono hiha una afya.
hongera mama mtoto.

Anonymous said...

yan x ni mtundu kweli but kumbuka mama x na wewe ulivyokuwa mtundu so mtoto anakuwa mara mbili yako usishangae

Anonymous said...

Big Psalm anampa salam X, anasema tayari yeye alianza kushika na kunywa mwenyewe siku nyingi. anamwalika pasaka aje Mby.