Wednesday, February 18

Brian Akimshangaa Mtoto Asiyecheza

Brian Kamugisha (6 months) akijaribu kumchunguza mdoli ambaye ni mkubwa kama yeye. Anamkagua toka kichwani hadi vidole vya miguu, anaona yupo tu. Najua kwa akili za watoto wa siku hizi, lazima atahisi kuna kitu hakiko sawa hapo.

3 comments:

Anonymous said...

kweli huyo mtoto wa kihaya, infact akiwa mdogo hivo ameshaanza kuonyesha kipaji chake cha ugunduzi. nadhani atakuwa doctor huyo.hongera mama yake inabidi umlee hivo hivyo.

Anonymous said...

Nimeupenda huyo mdoli,mimi sijazaa na ninatamani sana watoto ila sijabahatika na miaka inakatika.Huyo mdoli anapatikana wapi huku kwetu bongo,angalau niwe nanunua vinguo vya kitoto niwe namvika.makiromaro@yahoo.com

Anonymous said...

jamani that mdoli is too scary bwana