Monday, February 16

Nuran Saiboko

Cute, Nuran Saiboko (8months). Anapenda sana kutazama matangazo hasa ya tigo, kuanzia ya wale mababu wanaocheza hadi la duh, eee bwana ee.

1 comment:

Anonymous said...

mtoto mashaalah ana afya njema, mungu ambariki aendelee hivo hivo.