X akiwa na nguo zake, hizi alipewa na aunty wake flan hivi anaitwa Love (Irene Peter) alivyokua mchanga, zikaanza kumtosha alipofika miezi sita kama kwenye hiyo picha. Ila mwanangu hapendi cap, ukimvalisha anaivua, so huwa simvalishi na cap yake.*Kwa jinsi watoto wetu walivyopendeza na hizo nguo, inabidi Nike wawatumie kwenye matangazo, haki ya nani tena.*
1 comment:
Kweli watoto ni raha tupu. Nawapongeza wamama wa hawa watoto kwa kuwavalisha viwalo safi. Siyo mama unatinga viwalo bab kubwa halafu mwanao anavaa mitumba.
Post a Comment