Monday, February 2

Ugunduzi: Usingizi ni Kwa Wasio na Watoto Tu!

Kama unapenda usingizi na ni mchelewaji kuamka kama mimi pole! Malaika huyu anakuamsha asubuhi na mapema, saa 11.30 na hapo, most of the time anakuwa kakusumbua usiku mzima! Usingizi bye, bye!

2 comments:

Anonymous said...

Yah ni kweli kama ni mpenda usingizi ukiwa na mtoto unakuisha kabisa,mfano mzuri ni mimi niliekuwa napenda kulala hata mchana kutwa na usiku kucha siku hizi wapi mpenzi wng(mtotowangu) ananiamsha kumi alfajil na akinisemesha nisipomjibu hicho kilio chake ni balaa ,na hapo usiku kakustua kunyonya kama mara 5 hv na umechelewa kulala kwa ajili yake,All in all na enjoy sana kuwa mama.Jamani hakuna mama mtoto wangu amenifanya nimpende sana mama yangu ingawa ameshatangulia mbele za haki.Mama i love u.