Monday, February 9

Valentine Greetings


Regina Kumba anamwambia mwanae Harriet "I love you baby"
*****
Jamani wadau tumeingia wiki ya valentine, nitumieni picha zenu na watoto wenu zinazoonyesha upendo kati yenu kwani valentine sio kwa baba na mama tu, hata kwa mama na mwana au baa na mwana.

1 comment:

Anonymous said...

mh tuambie baba wa mtoto ni nani