Sunday, February 1

Vijino Vinne At Last!

After a looong wait, kama wiki mbili zilizopita Xchyler akapata meno ya juu, ila bibi yake hajaipenda hiyo dental fomula, anasema haijakaa vyema, baba yake anasema adhari za kunyonya vidole zishaanza kuonekana. Mimi naona sawa tu, ili mradi meno yameota.
***
Jamani nilisahau kuwataarifu, nimerudi salama kwenye vumbi la Dar. Ndio maana hata mnaona picha mpya za X. Asanteni wote kwa ushirikiano.

2 comments:

Anonymous said...

Hellow Jiang, hongera kwa kuona vijini. Yaani mi nimevisubiri vijino vya baby wangu hadi nimechoka. I wont mind dental formula, yoyote sawa ili mradi meno kwa sasa.
Alafu nakupongeza kwa kuanzisha hii blog, nilikuwa najoin website za watu wa nje na kuona kuwa ni kitu rahisi kwanini tusiwe nayo bongo. Nafurahi umekuwa creative na mungu akubariki ufanikiwe sana. mimi ni mdau mpya.

Anonymous said...

Hahahaha,loved it.Sasa mchemshie kuku wa kienyeji aive vizuri mama mtoto eeeh ,angalia asishindwe kumeza,fun part ni ukimpa mfupa huo wa labda paja...jamani utaona udenda huooooo,na ole wako uchukue huo mfupa cha moto utakiona ni kilio kwa kwenda mbele na kama kaanza kunyanyua mikono utaona anapigapiga kwa hasira

Mine anaelekea 9 months cha ajabu ana meno manne chini na manne juu,nahofia is it okay?

Till then ,mwaache aendelee ku-observe na kuvunjavunja vitu na kila kitu kupelekwa mdomoni kwani anahisi kuna kitu kipya kwenye kinywa chake sasa anacheck kinafanyaje kazi.