Monday, March 2

X na Anko Michu

Ijumaa iliyopita Xchyler alimtembelea Anko Michu ofisini, lakini alikua hataki anko Michu wala mtu mwingie yeyote ambebe wala amguse. Anko Michu akatumia ubabe wake akambeba mabegani, dogo wacha atoe kilio cha nguvu, ila Anko Michu alihakikisha hamwachii hadi aphotoe nae picha.
All in all wamependeza hata kama dogo amekinja sura!

No comments: