Monday, April 13

Birthday ya Xchyler Inakuja

Xchyler siku ya kwanza!
******
Wadau, hii ni wiki ya birthday ya Xchyler, na anapokea salamu ambazo wadau mtamtumia hapa katikati ya wiki.

Birthday yenyewe ni Alhamis tarehe 16, ambapo atatimiza mwaka mmoja.

Msidhani ninawanyima kitu, kiukweli sijatayarisha sherehe yeyote coz karibu nasafiri, ila mimi na baba yake tunaandaa zawadi ambayo siwezi kuitaja hapa, badala ya kufanya sherehe.


4 comments:

Anonymous said...

happy birthday little flower...Mungu akulinde na akukuze vyema na akupe baraka zote, ukue katika maadili ya kumpendeza Mungu na binadamu, ukapate kuwaheshimu wazazi wako ili upate kuishi miaka mingi na upate heri Duniani.
From
mdau wa Northumbria University, Newcastle upon Tyne, UK

Anonymous said...

Happy Birthday Xchyler!! Mungu awe pamoja nawe siku zote,Mungu akukuze kimo na akili! Mungu akujalie Upendo,uwe mtii,mwerevu na mcha Mungu ili baadae uione Mbingu! Aunt Elyc

Anonymous said...

happy birthday Xchyler WE are praying to counts more happybirth days to come be blessed.
Mama Ethan.

mama nashdigo said...

Kwa niaba ya mtoto Nasri Charunga (nash digo) anakutakia birthday njema, mungu akukuze na uwe na afya njema, anasema na yeye anatamani awe mkubwa kama wewe, umuombee kwa mungu ili akufikie.

nawasilisha mimi mama nashdigo