Sunday, April 12

Pasaka Babies

Mmoja wa akinamam waliojifungua kwenye mkesha wa Pasaka hospitali ya Mwananyamala jijini. Jumla ya watoto 64, wa kike 30 na wa kiume 34 walizaliwa hospitalini hapo kwenye mkesha huo.

No comments: