Thursday, April 16

Xchyler- Mam & Dad Moments

Hapa X ana siku kama 42 tu, ila alishaanza utundu na alikua hataki kupozi
kwa ajili ya picha anjivuruga tu.
Hii picha ni ya zamani sana, labda X ana wiki mbili tu, nikaenda kuoga nikamwacha baba yake amwangalie, nikakuta mtoto amelala, na baba anasinzia. Lovely!
Hapa juzi juzi tukiogelea naye, alipenda sana.

X na baba...I love this pic.

Namfanyisha sarakasi X, anapenda sana kurushwarushwa.

5 comments:

Anonymous said...

Nice Family.

Mama Faraja said...

happy birthdag mr Xehyler tunakutakia kila la heri na mafanikio mema sana katika sikuu hii kubwa ya leo. Hongela sana na wazazi kwa kazi mzuri na kubwa mliyoifanya kwakweli familia yenu inapenda sana sana Mungu awabariki na awazidishie maisha mema na yenye upendo mkubwa na Mr X iliaendelee kuwa nafuraha katika maisha yake yote kama unavyoonekana sasa. Hongela sana Dada Jiang kijana wako anapendeza sana.

Anonymous said...

he yaani x mchakuraji kweli hadi anafunua kwapa ya baba yake

Anonymous said...

baba katulia, analipa, mama machachari though. nice though

Anonymous said...

PRIS.HONGERA SANA KWA KUANZISHA BLOG HII INAYOHUSU WATOTO NA MAISHA YAO MUNGU AKUBARIKINI WW PAMOJA NA FAMILY YKO