Thursday, April 16

X na Vijino Vyake

Nikisherehekea kutimiza mwaka mmoja toka siku yake ya kuzaliwa nimeona nijikumbushe alipotoka, hii ni vijino vyake.
Alianza hivi...

Vikaja vijino viwili...

then vikaongezeka viwili, ila tulivisubiri sana...

Aha, sasa hivi anatamba, maana vishakua vinane, hivyo vinne vya mwisho vimekuja kwa pamoja, basi si kung'ata, kila kitu.

2 comments:

Anonymous said...

Kwakweli unampenda mtoto wako vilivyo!! Ila sipati picha akiongezeka mtoto wa pili na watatu...!!! Hongera for baieng a good mother!! Aunt Elyc

Anonymous said...

hongera ur a proud mother.nina swali please post it je watoto huacha kuvaa nepi wakiwa umri gani