Thursday, October 29

Christian na Audrey wamabatizwa

Malaika wa Annastacia Felbo, Christian na Audrey wamebatizwa hivi karibuni hukohuko Dk.
Kama kawaida, ubatizo wa Dk vigauni, wa kike na wa kiume wote, tofati wa kiume kun a uzi mwekundu unapita, wa kike uzi wa red/pink.
Mi hiki kistyle cha huko nimekipenda, maana vigauni vyenyewe i virefuuuuu!
Hapo juu ni familia nzima ya Mr Felbo, baba kambeba Audrey (pacha wa kike) mama kambeba Christian (wa kiume) na anayefurahia hapo kati ni kaka mtu Faraja.
Beautiful family!


Jamani hawa watoto rangi yao, nywele zao, muonekano wao, hadi pozi lao kwenye picha hii ni kama wale malaika watoto wanaochorwa kwenye picha za Yesu au Bikira Maria, wamependeza sana...bado kumalizia mabawa tu kwa nyuma, maana background ya mawingu imekubali!

Yale magauni niliyoyasema si mnayaona...hapa full kijiachia.


3 comments:

Anonymous said...

The twins look lovelly..I love these pictures. Their parents should be so happy having such cute kids.

Anonymous said...

Wow! Lovely and cute kids......nimependa sana tugauni twao sooo cute! Hongereni sana!

Mama Nadya said...

So beautifully...mwaa babies....i like their dressess.