Friday, October 30

J.J(JOB) atembelea kaburi la babu


Mdau J.J siku chache zilizopita alikwenda kuzuru kaburi la babu yake huko Singida.
Mam'tu Jacqueline Aron anashauri tuwe tunawapeleka watoto kijiji nao wakaone asili yao - tulikotoka, au walikotoka babu zao. Mi naunga mkono wazo hili. Na nyie wa nje ya bongo waleteni hata Dar, waone japo mtaa uliokulia basi!Watoto ni watoto tu, wakaanza issue nyingine...lakini hana shida maana lengo la kwenda hapo limetimia.

5 comments:

Anonymous said...

naisupport kwa mikono yote na miguu aisee, kuwapeleka watt kwa chimbuko lao
Singida sehemu gani?nije kudoea mahindi

MAMA JOB said...

J.J ALIENDA KIOMBOI IRAMBA SINGIDA(MAMA J.J)

Mama Nadya said...

Hiyo inaitwa safari moja huanzisha nyingine ...imetulia sana watoto siku zote wako buzy kuliko watu wazima kwasababu ni creative, pengine mwenyewe hata ukuwaza kubeba mahindi lakin wao wamevumbua...thats gud i like that.... Pengine ndo Wazir wetu wa kilimo wa mwaka 2040.

Anonymous said...

Titii mama job mpola za kukaa umefanya kitu cha maana yani, lakini alikula mlenda na ndalu mwanao kama hakula hajafaidika, nyumbani ni nyumbani tu.

Anonymous said...

Mama Job mbona hujajibu Comments yangu ya mwisho toka miaka 3 na zaidi nyuma, Ongela kininamba.