Saturday, October 31

Vallencia ndani ya makeup za mama

M-cute Vallencia akitoa tabasamu kali baada ya kujiremba na makeup za mama yake, Lulu Kilonzo. Kapatia kumetisha rangi ya shedo na kitop!

3 comments:

Mama Nadya said...

Mamii ameamua kumechisha kabsaa na top yake...looks so funny inapendeza mnoooooo...

Anonymous said...

tunatoka mbali. she is cute

Anonymous said...

tunatoka mbali. she is cute