Thursday, October 8

Cute Charity

Mcute huyu anaitwa Charity, ana miezi kama minne hivi, ni binamu wa Xchyler, yeye anakaa Mbeya. Wadau mnaweza mkaona napendelea coz ana undugu na X, ila kiukweli naona amependeza, na hilo gaiuni lilivyochanua ni kama mdoli vile.

No comments: