Thursday, October 8

Colman amerudi tena

Mdau COLMAN FRANCIS YOHANA wa Arusha amerudi tena tangu birthday yake ilipopita sasa ametimiza mwaka na miezi 2, sasa anatembea vzuri bila shida ila fujo nyingi, hapo akicheza na bata wake aliyeletewa siku ya birthday yake na aunti yake Gaude.

1 comment:

Anonymous said...

big up Colman you look cute!