Monday, October 12

Rispa anawapa hi

Mdau huyu mpya anaitwa Rispa Lilian Mlay, wa Rachel Mkundai.
Aunt yake Lydia Mlay Mkony amempa a.k.a ya Rizlil na juzi ametimizi miezi mitano kamili.
Mi nimempenda, maana ni m-cute sana.

4 comments:

shamim a.k.a Zeze said...

WOW!! Rispa amekuwa jamani hadi raha...we rachel Ni kwamba naona mabutu au ni picha tu...usije ukawa umeanza msuka mtoto jamani...bado

Anonymous said...

hahahaaa!!! sijamsuka mamangu, shangazi yake usije ukaniua Yesu na Maria!....salimia Iqra!

mama Rispa

Anonymous said...

Jamani huyu Rachel Mkundai alisoma pae Taps ama nimemchanganya kama ni wewe basi hongera!Karibu chamani
Glory Kirangi(Mama G)

Anonymous said...

Hi mama G, sijawahi kusoma hapo ulipopataja but tuwasiliane thru ramkundai@hotmail.com, mama Rispa