Saturday, October 10

Sham akiwa Bongo kwa mara ya kwanza

Huyu ni mdau wa siku nyingi sana, Shambara, hapa alikuwa Bongo kwa mara ya kwanza. Mimi hata sikujua hayuko ndani ya bongo siku zote, kama kawaida yake amependeza sana.
Mi nimependa zile nguo za kimasai, zimemtoa very beautiful, ingawa sijawahi kuona picha ya Sham ambayo hajatoka mchicha, ila hizi nguo zimezidisha.
Mam'tu ananiambia mdau alifurahia sana kuwa huku, hasa uhusu wa kucheza.
Sisi tunamwambia karibu tena, ila ukija next time, tujulishe tukuonyeshe mji wetu.

No comments: