Sunday, October 11

Audery, Christian na Faraja

Wadau pacha Audrey na Christian wakiwa na kaka yao Faraja wakicheza kwenye sehemu maalum ya kuchezea mchanga, huu hauna vumbi!

3 comments:

shamim a.k.a Zeze said...

MH!! HIVI MCHANGA KAMA HUU WATOTO WANAVYOPENDA KUTIA KILA K2 MDOMONI SI NITAUKUTA IQRA AMEJAZA KIROBA TUMBONI?!!

Anonymous said...

Watoto wanalindwa na Mungu Shamim. wanakula kila aina ya matakataka na hawadhuriki.

Anonymous said...

msile mchanga tu watoto wazuri