Thursday, November 19

Angel akiwa Moshi kwa babu

Mdau Angel hapa yuko nadady Mika kwa babu Moshi.
Angel anasema anawapenda wooote!

2 comments:

Anonymous said...

Waao jamani Angel, angel kweli,yaani mzuri mpaka basi,najua hapo baba mtu ni usawa wa maziwa ya 26ndo yanafanya kazi.Thx Mika for picture jamani.Hapo Mika najua umeelewa raha ya kuwa na mtoto.Mama Angel hongera sana kwani mtoto ana afya nzuri sana.
conso

Anonymous said...

very beau