Friday, November 20

M-cute Melisa/Michelle

Huyu ni mdau mpya, anaitwa Melisa au Michelle.
Ma'mtu Tulinave Lupembe anasema, 'Nampenda sana mtoto wangu mpenzi Melisa/Michelle, ni mtoto anaependa kutabasamu na ni mchangamfu, Mungu ampe maisha marefu yenye furaha tele, afya na upendo kwa sisi wazazi wake Mr. & Mrs Stephano John Mgaya wa Kimara Stop over Dar.'

5 comments:

Anonymous said...

Hongera mnyalukolo....Melisa is sooo cute. Mungu amlinde na kumkuzaa.

Anonymous said...

Melisa wa jina langu, Mungu akujalie afya bora, na ukue uwe kiongozi bora katika ulimwengu huu.

disminder

Anonymous said...

big up melisa!uko cool
mama collin arusha

Anonymous said...

i love you melisa/michelle, you are soo nice and cute, good and long life baby, mamy mpenzi tulinave

Mama mkubwa (DIT) said...

Dorothy, Malcom na Mary wanasema, Love u Melisa, iko siku watakuja kukutembelea Kimara. Na wanataka wakuchukue ukale supu za Mbuzi na supu za nyama ya ng'ombe huko kwao Vingunguti.