Mdau Faidha katoka mchicha, alimetchisha na kabegi ka pink mgongoni.
Mdau mtoto wa baba
Bridgittejana nilimuona live. Na baba alikuwepo, mi niliongea na ma'mtu Consolatha Ngowi baba nilimuona kwa mbaaaali.
Huyu anaitwa Kashe (3yrs).
Iman (2yrs) kama spider man, afu alipatana sana na X, basi akawa anampa bisi zake mwenyewe, X anazila tu!
Brigdett na Faidha.
*****
Wadau mliokuwepo ntumieni picha za wadau nizitumie, mi jana nilisahau memory card ya camera yangu, so nilipiga picha chache sana, ila ningependa kutumia picha nyingi, nyi tumeni tu mi nizirushe.
3 comments:
Watoto wamependeza na mask zao jamani.
Mungu ameumba.
disminder
Jamani mama X hako kabinti kangu kanaitwa FAIDHA kwa jina.
Jamani mama X hako kabinti kangu kanaitwa FAIDHA kwa jina.
Post a Comment