Monday, December 14

Siri

Asanteni wadau woooooote kwa comment nyingi na jitihada kubwa za kuotea kilichojificha tarehe 1/Dec.

Hizi ndio comments zenu zenye majibu...

14 Comments

Anonymous Anonymous said...

Leo ni bday ya X

Tuesday, December 1, 2009 4:04:00 PM GMT+03:00Delete

Anonymous Anonymous said...

Leo ni bday ya X

Tuesday, December 1, 2009 4:04:00 PM GMT+03:00Delete

Anonymous Anonymous said...

Leo ni bday ya X

Tuesday, December 1, 2009 4:04:00 PM GMT+03:00Delete

Anonymous Anonymous said...

Leo ni siku yako ya kuzaliwa Jiang!Happy Birthday...Mdau Mama W'z

Tuesday, December 1, 2009 4:05:00 PM GMT+03:00Delete

Anonymous Anonymous said...

Leo ni siku yako ya kuzaliwa Jiang!Happy Birthday...Mdau Mama W'z

Tuesday, December 1, 2009 4:05:00 PM GMT+03:00Delete

Anonymous Anonymous said...

TAREHE 1 DEC OBAMA KUSHINDA URAISI!
ITS ME
ESTHER

Wednesday, December 2, 2009 9:37:00 AM GMT+03:00Delete

Anonymous Anonymous said...

TAREHE 1 DEC JIANG ALIFUNGA NDOA NA Sixtus. By makiromaro@yahoo.com

Wednesday, December 2, 2009 11:34:00 AM GMT+03:00Delete

Anonymous Elyc said...

Globu ya mama na mwana ndio ilianzishwa tarehe 1 dec by Elyc

Wednesday, December 2, 2009 11:34:00 AM GMT+03:00Delete

Anonymous Anonymous said...

Jibu lake nini sasa? Tuhabarishe na sisi kwani 1 Dec. ishapita.

Wednesday, December 2, 2009 1:39:00 PM GMT+03:00

Delete
Anonymous Anonymous said...

siku ya ukimwi duniani

Wednesday, December 2, 2009 7:56:00 PM GMT+03:00Delete

Anonymous mama Collins said...

blog hii ilianzishwa

Thursday, December 3, 2009 12:04:00 PM GMT+03:00Delete

Blogger Lulu said...

Mi nahisi Mama na mwana ilizinduliwa rasmi maana kuanzishwa naona kama ilianzishwa November mwishoni

Friday, December 4, 2009 10:39:00 AM GMT+03:00Delete

Anonymous Anonymous said...

tarehe 1 dec ni bday yako jiang. happy birthday jiang! be blessed my dear!
mama collin & colman (arusha)

Friday, December 4, 2009 11:01:00 AM GMT+03:00Delete

Anonymous Anonymous said...

Bday yako jiag,2.siku ya ukimwi duniani 3.Obama alishinda urais 4.blog yako ilianzishwa 4.Ulifunga pingu za maisha

Sunday, December 6, 2009 9:55:00 PM GMT+03:00

***************
Kwa wale mlionitakia birthday njema, asanteni sana, ila birthday yangu ni mwezi wa pili (February)...
Birthday ya Xchyler ni mwezi wa nne (April)...
Nilifunga ndoa mwezi wa tisa (September)...
Nashangaa hamna hata aliyesema labda bday ya baba X,...ila hilo nalo sio jibu, yake ni mwezi wa nane( August)...
All in all, asanteni wote mlioshiriki kwa kutuma majibu yenu...

*******
JIBU: Tarehe 1 dec, mwaka jana ndio blog ya Mama na Mwana ilianzishwa rasmi, yani watu walijulishwa, ingawa ilikua hewani tangu Novemba, na rafiki wa karibu walishakuwa wanatembelea, na hii ndio ilikua post ya kwanza, Xchyler - Day One.

MSHINDI:Mdau ELYC alitoa jibu lililoshabihiana sana na jibu sahihi, na isingekua LULU angekua mshindi bila tatizo, ila LULU akaenda mbali zaidi kwa kulifanya jibu lake kuwa sahihi zaidi.
Hivyo basi Lulu atapata zawadi iliyoandaliwa, na Elcy atapata zawadi nyingine kiduchu, ntawatafuta kwa e-mail zenu na kupanga jinsi ya kupata zawadi hizo.
Asanteni wote kwa kushiriki.

******

Kwa muda wa mwaka mmoja uliopita ningependa kuwashukuru watu wote wanaonipa support kila siku katika blog hii na hivyo kuifanya iendelee kuwepo.
Asanteni wanafamilia yangu wote kwa support, mi naomba nyinyi nisiseme sana hapa, ntamaliza kurasa bure...bila nyinyi hii kitu isingewezekana.

Wafanyakazi wote wa TSN (publisher wa Daily News& Habari Leo) kwa kunipatia picha za mwanzo za watoto wao nizitumie kwenye blog...posting zote za Novemba 2008, ni za watoto wa wafanyakazi wa TSN...na kuendelea kufanya hivyo kila mara.
Na wana-TSN wengine wanaotuma comments na wanaonipa moyo kwa kuniambia wamnaangalia blog yangu tunapokutana kwenye corridor au kwenye chai, nafurahi sana ninapojua kuwa watu wanatembelea blog yangu.

Asante kwa rafiki zangu wote mnaonipa picha za watoto wenu, mnaonipa ushauri wa kuborehsa blog, mnaotuma comments na mnaotembelea blog...asanteni wote.

Aksanteni wadau wote mnaotuma picha za malaika wenu, kwani bila hizo picha hii blog isingekua na kitu...
Aksanteni wadau mnaopost comments, zinaifanya ichangamke sana...
Pia nawashukuru wadau wote mnaopita tu kuangalia kimya kimya, mkicheka na kufurahi mbele ya komputa zenu, hizo hits zinaonyesha nyinyi ni wenngi zaidi..endeleeni kututembelea, mkipenda nitumieni picha za wadau wajiunge na wenzao, sio lazima awe mwanao wa kumzaa, anaweza akawa mtoto wa ndugu, rafiki au jamaa, ili mradi mzazi awe ametoa ruhusa.

Special thanx ni kwa Fredrick Mboma, unajua mwenyewe ulivyoniokoa...na utakavyoendelea kuniokoa.

*********
2010...
Stay tuned, kama nilivyoahidi nilivyotoka kwenye kale kajishule, mambo makubwa zaidi yanakuja, ntawapa details siku zinavyozidi kusonga, maana ndio naandaa, na wote mtashiriki na hakika mtapenda.

*****
Love you all,
Jiang.
4 comments:

Elyc said...

Mama X nashukuru sana kwa kunipa zawadi,nimeshaanza kuchekelea hata kabla sijaipata.namba yangu ya cm ni sifuri saba tisa saba tano moja tano sita nne sifuri usiishangae sana bado mtandao haujawa maarufu hapa bongo.

Lulu said...

Mama X nashukuru kwa kuwa mshindi wa shindano la "siri" please tuwasiliane kwa email address hii lkilonzo@engenderhealth.org maana gmail yanisumbua kweli kwa sasa.

Lulu said...

Mama X nashukuru kwa kuwa mshindi wa shindano la "siri" please tuwasiliane kwa email address hii lkilonzo@engenderhealth.org maana gmail yanisumbua kweli kwa sasa.

Anonymous said...

Jiang nilikuwaga nakuona chuo tu pamoja na mumeo nilifurahi kuona blog yako na huwa naitembelea time by time.

Hunifahamu ila nafurahia blog yako kwa kweli...mimi sijabahatika kupata mtoto and i wish one day na mie nipate mtoto I PROMISE NITAKUTUMIA PICHA ZAKE AHAHAHAHAHAA

Mdau Musoma