Monday, December 14

Nadya is One

Mdau Nadya anatimiza mwaka mmoja kamili leo hii.
Hizi ni picha za Ijumaa, waliposherehekea na ma'mtu Mona Qaseeem.nnna maneno matatu tu ya kusema, pretty, pretty, pretty!

*****
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Nadya maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele.

3 comments:

Mama Nadya said...

Thanks Mama X....Na mie nawatakia Nadya na wadau wooote wa mama na mwana Afya Njema, Umri Mrefu na wawe wacha mungu....

Anonymous said...

hongera sana baby Nadya, Mungu akupe miaka mingi zaidi na zaidi big up nakufagilia sana uu mrembo sana, hongera sn wazazi wa Nadya!
mama collin&colman arusha

Limbeart said...

HAPPY TO SEE THIS