Friday, December 18

X kanitembelea kwa ofisi

Jumamosi iliyopita Xchyler alinitembelea ofisini, bahati nzuri wakati tunaondoka tukakutana na Anko Fadhili Akida, akatusnap mbili tatu za chapchap.

3 comments:

Anonymous said...

Mmependeza sana Mama na Mwanae.

Mama Mberwa said...

Nice picture mama X.

Mama Mberwa

Anonymous said...

amekuwa sasa X. Safi sana mmependeza sana.