Friday, December 18

Happy belated birthday Kamugisha

Mdau Kamugisha Rwegasira alitimiza mwaka mmoja Jumapili iliyopita, tarehe 13/12/2009.


Hapa yuko na mam'tu, hongera mama kwa kukuza.
Wadau wote wa Mama na Mwana tunamtakia Kamugisha maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele.

No comments: