Thursday, December 10

X na baba

Hii ilikua jumamosi iliyopita, walikua steers ya mjini wanapata lunch...

Hapa X kakatazwa kupanda mezani, ndio kanuna!

Hapa hata sikumbuki walichokua wanaonyeshana....

6 comments:

Lulu said...

We mwenzetu hapo huna chako, mtoto kafanana na babake hadi raha. Wewe umekuwa ni photocopier tu!!! Haaa haaa

Masangu Matondo Nzuzullima said...

"Wewe umekuwa ni photocopier tu!!!". Lulu - nimependa huo msemo.

Jamani, hakuna furaha ipitayo hii ya kuwa na familia yenye upendo na inayosikilizana. Ni kweli, misukosuko ya maisha itakuja na migongano itakuweko lakini kama familia iko pamoja na imeshikamana, hakuna dhoruba iwezayo kuiangusha - hata iwe dhoruba angamizi namna gani.

Hebu upendo huu wa kweli unaoonyeshwa hapa kati ya baba na mwanaye (na wewe "photocopier" - ambaye hasa ndiye NGUZO) ukadumu katika maisha yenu. Blessings!

Jiang said...

@Lulu...ha ha ha aa, Lulu mi sikubali...si wadau walisema tusubiri akifika miaka miwili, sasa mi nasubiri hiyo miaka miwili tuone kafanana na nani!
@Masangu...thanx kwa kututakia upendo unaodumu kaka, na wewe pia Mungu akujalie maisha yenye upendo tele, kwani kwa kweli ni maisha mazuri mno.

Anonymous said...

Wamependeza mtu na baba acheni zenu hv hamuoni kama wamefanana na mamake au macho yenu yana matege?

Anonymous said...

Wamependeza mtu na baba acheni zenu hv hamuoni kama wamefanana na mamake au macho yenu yana matege?

Anonymous said...

Huyo mtot anafanana na mamake...teh tehehehe kwa babake kachukua nyusi tu may be.

Mdau Musoma