Sunday, January 24

Happy birthday Dalvis


Leo mdau Dalvis Mlingi anatimiza miaka miwili...jamani mdau huyu tumetoka naye mbali, maana ni mmoja wa wadau waanzilishi wa blog hii.
Nampa big up mam'tu Joyce Macha ambaye alinipa support kubwa wakati naanza kwenye libaneke hili, kwa kukuza huyo mkaka.

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Dalvis maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

*Tunasubiri picha za keki*

No comments: